forked from WA-Catalog/sw_tn
506 B
506 B
mtoto aliyekuwa amekufa alifufuliwa
"alisababisha mtoto aliyekuwa amekufa kuwa hai tena"
kwa ajili ya nyumba yake na nchi
Wakati yule mwanamke alipoondoka, nyumba yake na mali zake vilizingirwa. Anawaomba arudishwe.
kuhusu mwanaye
Hii inarejlea hadithi ya mwanaye akifa na Elisha kurejeshea uhai wake.
mafuno yote ya shambani mwake
Haya maelezo yanarejea kwa kiasi cha pesa ambacho mavuno ya shambani kwake yalikuwa ya thamani wakati alipokuwa mbali. Manufaa yote ya mavuno ya shamba lake"