forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.1 KiB
Markdown
37 lines
1.1 KiB
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Katika huu mstari, mwandishi amefupisha kilichotokea kwa kurudia matukio ambayo alielezea katika 7:1.
|
|
|
|
# Mda kama huu
|
|
|
|
"Mda kama huu kesho"
|
|
|
|
# vipimo viwili vya shayiri ... kipimo kimoja cha unga mzuri
|
|
|
|
Hapa neno "kipimo" unatafsri neno "sea," ambayo ni umoja wa kipimo kikavu sawa na lita 7. "lita 14 za shayiri ... lita 7 za unga mzuri"
|
|
|
|
# shekeli
|
|
|
|
Shekeli ni moja ya uzito sawa na kama gram 11. "kama gram 11 za fedha" au "fedha moja ya sarafu"
|
|
|
|
# Ona
|
|
|
|
"sana." Neno "Ona" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.
|
|
|
|
# hata kama Yahwe akiweka madirisha mbinguni
|
|
|
|
Yahwe analeta mvua kubwa sana kunyesha kwa ajili ya kufanya mimea ikue inazungumziwa kana kwamba Yahwe alikuwa akifungua madirisha mbinguni ambavyo ashuahapo mvua chini.
|
|
|
|
# je hili jambo linaweza kutokea?
|
|
|
|
Nahodha anauliza hili swali kuelezea kutokuamini kwake. Hili swali linaweza kuatafsiriwa kama kauli.
|
|
|
|
# utaona ikitokea kwa macho yako mwenyewe
|
|
|
|
Neno "kwa macho yako mwenyewe" linasisitiza kwamba nahodha anaona bila shaka mambo ambayo Elisha aliyoyatabiri.
|
|
|
|
# lakini hutakula chochote katika hicho
|
|
|
|
"lakini hutakula chochote katika unga au shayiri"
|
|
|