forked from WA-Catalog/sw_tn
745 B
745 B
wakati wa jioni
Hii inarejea mapema jioni baada ya jua kuzama, lakini kabla ya giza.
Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi-sauti za jeshi jingine kubwa
Maaskari wa Shami walisikia s
jeshi la Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi-sauti za jeshi jingine kubwa
Maaskari wa jeshi Washami walisikia sauti zilizokuwa zinalia kama jeshi kubwa linalokaribia kuwapiga. Hili halikuwa jeshi halisi, lakini Bwana aliwatengeneza kusikia hizi sauti.
waliambizana kila mmoja
"maaskari wa Washami waliambizana kila mmoja"
wafalme wa Wahitina Wamisri
Hapa neno "wafalme" linawakilisha majeshi ya haya mataifa. "majeshi ya Wahiti na Wamisri"
kuja juu yetu
"kutupiga sisi" au "kutushambulia"