Msichana kutoka Israeli, aliyekuwa amekamatwa na maaskari wa Kishamu, aliongea na mke wa Naamani.
Hapa "bwana wangu" inamrejea Naamani.