sw_tn/2ki/05/01.md

17 lines
498 B
Markdown

# katika mtazamo wa bwana wake
"Mtazamo" wa mfalme unarejea kwa kile afikiriacho kuhusu jambo. "katika maoni ya mfalme"
# kwa sababu kwa yeye Yahwe alimpatia Shamu ushindi
Hapa "Shami" inarejea kwa jeshi la Washamu. "kwa sababu kupitia Naamani, Yahwe alimpatia ushindi jeshi la Washamu"
# Washami walikuwa wametoka nje
Hapa "Washami" inarejea kwa maaskari wa Sahami.
# kuongoza kikundi
"katika makundi madogo kushambulia." Hii inamaanisha kutoka nje kushambulia adui katika makundi madogo.