sw_tn/2ki/04/28.md

511 B

Nilikuuliza mtoto wako, bwana wangu? Sikusema, 'Usinifiche'?

Yule mwanamke anatumia hili swali lisilo na majibu kuonyesha kwamba amechukia kuhusu kilichotokea. Hivyo anazungumza kuhusu mazungumzo yake na Elisha wakati alipomwambia kwamba alikuwa akienda kumpata mtoto.

Vaa kwa ajili ya safari

"Kuwa tayari kwa ajili ya safari"

Kama ukimkuta mtu yeyote, usimsalimie, na kama mtu yeyote akikusalimia, usimjibu

Elisha alimtaka Gehazi kusafiri haraka iwezekanavyo, bila hata kusimama kuongea na yeyote.