sw_tn/2ki/04/07.md

9 lines
280 B
Markdown

# mtu wa Mungu
Hii inamhusu Elisha. "Elisha, mtu wa Mungu"
# yatakayobaki waachie watoto wako
Hii ilimaanisha kwamba kutumia pesa kununua vitu ambavyo walihitaji, kama vile chakula na mavazi. "tumia pesa zitakazobaki kwa ajili yako na mwanaye kwa kuwa ndicho utakacho kuishi"