sw_tn/2ki/01/17.md

527 B

likle neno la Yahwe lililozungumzwa na Eliya

"Yahwe alimwambia nini Eliya ambalo Eliya alilizungumza"

mwaka wa pili

"mwaka wa 2"

katika mwaka wa pili wa Yoramu mwana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda

Hii inaelezea mda ambao Yoramu alipoanza kutawala kwa kuanza ni mda gani mfalme wa Yuda aliepo alitawala. "katika mwaka wa pili ambao Yoramu mwana wa Yehoshafati alipokuwa mfalme wa Yuda"

Je hayajaandikwa ... Israeli?

Hili ni swali lisilokuwa na majibu linaloweza kuandikwa kama sentensi. "yameandikwa ... Israeli"