sw_tn/2ki/01/13.md

617 B

watu hodari hamsini

"mashujaa 50" au "maaskari 50"

kumsihi

"kumuomba"

hawa watumishi wako hamsini

Nahodha akasema kwamba hawa watumishi ni watumishi wa Eliya kumuonyesha heshima.

acha uzima wangu ... uwe na thamani usoni pako

Kirahi "usoni kwako" kinarejea kwa kile Eliya anachofikiria. Nahodha anawatetea pamoja na Eliya kuwaacha waishi. "tafadhali fikiria maisha yangu ... kama thamani kwako" au "fikiria maisha yangu ... kuwa ya thamani kwako na usituue"

acha uzima wangu uwe na thamani machoni kwako

Hapa nahodha anatubu ombi lake kwa ajili ya Eliya kuonyesha ukarimu kwake na kumuacha aishi.