sw_tn/2co/11/01.md

637 B

Sentensi Unganishi

Paulo anaendelea kuthibitisha utume wake.

mngevumiliana na mimi katika baadhi ya upumbavu.

"mniruhusu kutenda kama mpumbavu"

wivu...wivu

Maneno haya yanazungumzia uzuri , shauku kubwa ambayo Wakorintho wawe waaminifu kwa Kristo na kwamba hakuna mmoja anayepaswa kuwashawishi kumwacha yeye.

nilipowaahidi ninyi kwenye ndoa ya mume mmoja. Niliahidi kuwaleta ninyi kwa Kristo kama bikra safi.

Paulo anazungumzia juu ya kujali kwake kwa Waamini wa Korintho kama vile ameahidi mtu mwingine yeye angemwandaa binti yake kuolewa na yeye na zaidi ameguswa sana kwamba aweze kuitunza ahadi yake kwa mtu yule.