sw_tn/2co/10/intro.md

32 lines
1.3 KiB
Markdown

# 2 Wakorintho 10 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri huweka nukuu kutoka kwenye Agano la Kale kwa upande wa kulia zaidi kuliko maandishi yote. ULB inafanya hivyo kwa maneno yaliyotajwa kwenye mstari wa 17.
Katika sura hii, Paulo anarudi kutetea mamlaka yake. Pia analinganisha jinsi anavyozungumza na jinsi anavyoandika.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Kujivuna
"Kujivuna" mara nyingi hufikiriwa kama kujisifu, ambayo si nzuri. Lakini katika barua hii "kujivuna" ina maana ya kujivuna kwa shukrani au kujivuna kwa furaha.
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Mifano
Katika mistari ya 3-6, Paulo anatumia mifano nyingi ya vita. Huenda anayatumia kama sehemu ya mfano kubwa juu ya Wakristo kuwa katika vita vya kiroho. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Mwili
"Labda mwili ni mfano wa asili ya dhambi. Paulo hafundishi kwamba miili yetu ni ya dhambi. Labda Paulo anafundisha kwamba wakati wote Wakristo tunapoishi ("katika mwili"), tutaendelea kutenda dhambi. Lakini asili yetu mpya itapigana dhidi ya asili yetu ya zamani. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh)
## Links:
* __[2 Corinthians 10:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../09/intro.md) | [>>](../11/intro.md)__