forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
743 B
Markdown
29 lines
743 B
Markdown
# Naye atoaye
|
|
|
|
"Mungu atoaye"
|
|
|
|
# mkate kwa ajili ya chakula
|
|
|
|
Hapa nenp "mkate" lina maanisha chakula kwa ujumla"
|
|
|
|
# pia atatoa na kuzidisha mbegu yenu kwa ajili ya kupanda
|
|
|
|
paulo anazungumza mali za Wakorintho kama vile zilikuwa mbegu za kuwapa wengine kama vile wanapanda mbegu.
|
|
|
|
# Yeye ataongeza mavuno ya haki yenu.
|
|
|
|
paulo analinganisha faida ambazo Wakorintho watapokea kutokana na ukarimu wao kwa mavuno hayo.
|
|
|
|
# mavuno ya haki yenu
|
|
|
|
"mavuno ambayo yanatokana na matendo ya haki." Hapa neno "haki" linamaanisha matendo ya haki ya Wakorintho kwa kutoa raslimali zao kwa waamini katika Yerusalemu.
|
|
|
|
# Mtatajirishwa
|
|
|
|
"Mungu atawatajirisha"
|
|
|
|
# Hii italeta shukrani kwa Mungu kupitia sisi.
|
|
|
|
Neno :hii" linamaanisha ukarimu wa Wakorintho"
|
|
|