forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
447 B
Markdown
13 lines
447 B
Markdown
# Mungu anaweza kuwapa baraka na kuwazidishia
|
|
|
|
"Mungu ataongeza baraka kwa ajili yenu" Mtu aanayewapatia mahitaji ya kifedha waamini wengine, Mungu pia hutoa baraka zaidi kwa anayetoa. hivyo anayetoa atapokuwa na kila kitu anachohitaji.
|
|
|
|
# ili kwamba muweze kuzidisha kila tendo jema.
|
|
|
|
"ili kwamba muweze kufanya matendo mema zaidi na zaidi"
|
|
|
|
# kama ilivyoandikwa
|
|
|
|
"Kama iivyoandikwa" Yaweza kusemwa hivi: " "Kama vile mwandishi alivyoandika"
|
|
|