sw_tn/2co/09/01.md

17 lines
719 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anazidi kuzungumzia juu ya somo la utoaji. Anataka kuhakikisha kuwa hayo matoleo katika sadaka zao kwa waamini wahitaji katika Yerusalemu ifanyike kabla hajaja hivyo isije ikaonekana kana kwamba anachukua fursa yao. Anazungumzia kuhusu jinsi gani utoaji unavyombariki atoaye na kumtukuza Mungu.
# Habari za Jumla:
Wakati Paulo anapozungumzia Akaya, anazungumzia jimbo la Rumi lililopo kusini mwa Ugiriki mahali Korintho ilipo.
# huduma kwa ajili ya waamini
Sentesnsi hii ina maanisha ukusanyaji wa fedha kuwapatia wakristo wa Yerusalamu.
# Akaya imekuwa tayari
Hapa neno "Akaya" lina maanisha watu wanaoishi katika jimbo hili, Na kwa uwazi kabisa ni kwa watu wa kanisa la korintho.