sw_tn/2co/06/01.md

1.0 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anajumuisha jinsi gani kufanya kazi kwa pamoja inavyopaswa kuwa.

Habari za Jumla

Katika mstari wa pili Paulo an nukuu kifungu kutoka kwa nabii Isaya.

Kufanya kazi Pamoja

Paulo anamaanisha kuwa yeye na Timotheo wanatumika pamoja na Mungu

tunawasihi ninyi msiipokee neema ya Mungu pasipo matokeo

Paulo anawasihi paoja nao kuiruhusu neema ya Mungu kufanya kazi katika maisha yao.

Kwa kuwa anasema

"Kwa kuwa Mugu anasema" Hii inatambulisha nukuu kutoka kwa nabii Isaya. "Kwa kuwa Mungu anasema katika maandiko"

Tazama

Neno "Tazama" mahali hapa linatukumbusha kuwa wasikivu kwa habari zijazo zinazostajabisha.

Hatuweki jiwe la kizuizi mbele ya mtu yeyote,

Paulo anazungumzia juu ya kitu chochote ambacho kinaweza kumzuia mtu kutotumaini katika Kristo kama vile ilivyokuwa kifaa cha mwili juu ya kile ambacho mtu yule huteleza na kuanguka.

kwa kuwa hatuitakii huduma yetu iletwe katika sifa mbaya.

Neno "sifa mbaya " lina maanisha watu kusema vibaya kuhusu huduma ya Paulo .