forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.1 KiB
Markdown
33 lines
1.1 KiB
Markdown
# Lakini kama injili yetu imefichika, imefichika kwa wale tu wanaoangamia
|
|
|
|
Hiki marejeo ya nyuma 3:14 mahali ambapo Paulo anaeleza kuwa kuna utaji wa kiroho amabao unawazuia watu wasielewe wakati wanaposoma agano la kale. Kwa njia hiyo, watu hawawezi kuifahamu injili.
|
|
|
|
# Ikiwa injili yetu imetiwa utaji, imetiwa utaji
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika muundo wa utendaji" ikiwa utaji unaifunika injili yetu, utaji huo huifunika"
|
|
|
|
# Injili yetu
|
|
|
|
"Injili ambayo tunaihubiri"
|
|
|
|
# mungu wa ulimwengu huu amewapofusha fahamu zao zisizoamini.
|
|
|
|
Paulo anazungumza juu ya mioyo yao ikiwa kama mioyo yao haiwezi kuona "mungu wa ulimwengu amewazuia wasioamini kuelewa"
|
|
|
|
# mungu wa ulimwengu huu
|
|
|
|
"mungu anayetwala dunia," Tungo hii ina maanisha shetani.
|
|
|
|
# hawawezi kuona nuru ya injili ya utukufu wa Kristo
|
|
|
|
Kama vile waisraeli walivyoshindwa kuuona utukufu wa Mungu uliong'ara juu ya uso wa Musa kwa sababu aliufunika kwa utaji.Wasio amini hawawezi kuuona utukufu wa Kristo unao ng'ara katika injili.
|
|
|
|
# nuru ya injili
|
|
|
|
"nuru ambayo inakuja kutoka katika injili"
|
|
|
|
# injili ya utukufu wa Kristo
|
|
|
|
"injili inayohusu utukufu wa Kristo"
|
|
|