forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.1 KiB
Markdown
33 lines
1.1 KiB
Markdown
# kazi ya hukumu
|
|
|
|
"Kaziya hukumu ."Hii inarejea kwenye sheria ya Agano la Kale.
|
|
|
|
# ni mara ngapi zaidi huduma ya haki huzidi sana katika utukufu!
|
|
|
|
Hapa neno "jinsi gani" linaonyesha tungo hii kama mshangao, siyo kama vile swali.
|
|
|
|
# huduma ya uadilifu huzidi sana katika utukufu
|
|
|
|
Paulo anazungumza juu ya "huduma ya haki" kama ilivyokuwa taswira ammbayo ingeweza kutoa au kuongeza taswira nyingine. Anamaanisha kuwa " huduma ya uadilifu" ni ya utukufu zaidi kuliko sheria , ambayopia ilikuwa na utukufu.
|
|
|
|
# huduma ya uadilifu
|
|
|
|
"huduma ya uadilifu" Inarejea kwenye agano jipya , ambalo paulo ni mtumishi wake.
|
|
|
|
# kile kilichofanywa utukufu kwanza hakina utukufu tena katika heshima hii, kwa sababu ya utukufu unaozidi.
|
|
|
|
Sheria ya Agano la Kale haionekani tena kutukuzwa inapolinganishwa na Agano jipya, ambalo lina utukufu zaidi.
|
|
|
|
# kile kilichofanywa utukufu kwanza
|
|
|
|
"kile kinachoweza kutafsiriwa katika kauli tendaji" "sheria ambayo Mungu aliifanya utukufu"
|
|
|
|
# katika heshima hii
|
|
|
|
"kwa njia hii"
|
|
|
|
# kile ambacho kilikuwa kinapita
|
|
|
|
IHii inamaanisha "huduma ya hukumu" ambayo Paulo anazungumza juu yake iliyokuwa kama taswira yenye uwezo wa kutoonekana.
|
|
|