forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
733 B
Markdown
29 lines
733 B
Markdown
# huu ndiyo ujasiri
|
|
|
|
Inaelezea kwa kile ambacho Paulo amekisema. .Ujasiri wake unatoka katika kufahamu kwamba Wakorintho ni uthibitisho wa huduma yake mbele za Mungu.
|
|
|
|
# Uhodari ndani yetu wenyewe
|
|
|
|
"Kustahili kwetu ndani yetu sisi wenyewe" au "Utoshelevu ndani yetu sisi wenyewe"
|
|
|
|
# kudai kitu chochote kuwa kinatoka kwetu
|
|
|
|
kudai kuwa kitu chochote ambacho tumefanya katika huduma huduma huja kwa juhudi zetu sisi wenyewe"
|
|
|
|
# Uhodari wetu unatoka kwa Mungu
|
|
|
|
"Mungu hutupa utoshelevu"
|
|
|
|
# Agano lisilo la barua
|
|
|
|
"agano ambalo halijajikita juu ya sheria ambazo zimeandikwa na wanandamu.
|
|
|
|
# lakini la Roho
|
|
|
|
"lakini ni agano ambalo limejikita juu ya kile ambacho Roho anafanya"
|
|
|
|
# barua inaua
|
|
|
|
"sheria iliyoandikwa hupelekea kifo"
|
|
|