|
# Atafanya hivi kama ninyi pia mlivyotusaidia
|
|
|
|
"Mungu atatuokoa kutoka hatarini kama ninyi, watu wa kanisa la Korintho, mtusaidia na sisi pia"
|
|
|
|
# Upendeleo wa utukufu umetolewa kweyu
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji. "Upendeleo wa utukufu ambao uliotolewa kwetu"
|
|
|