forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
409 B
Markdown
13 lines
409 B
Markdown
# Pia akawapanga katika sehemu ya mfalme kwa ajili ya sadaka kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kutoka katika mali zake.
|
|
|
|
Hezekia alichukua chalakua nyama na nafaka zilizokuwa zinatumika kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kutoka mali zake mwenyewe.
|
|
|
|
# Mwezi mpya.
|
|
|
|
Hii ilikuwa sikukuu ambayo ilienda pamoja na hatua za mwezi.
|
|
|
|
# Sikukuu zisizobadilika.
|
|
|
|
Hizi ni sikukuu ambazo hutokea katika tarehe maalumu.
|
|
|