Walisimama katika dhamu zao au sehemu zao walizopangiwa.
Kwa kufuata desturi na taratibu waliwachinja wanakondoo wa Pasaka.