forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
549 B
Markdown
17 lines
549 B
Markdown
# Ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu alitengeneza kama miungu.
|
|
|
|
Hii ina maana ya miungu aliyotengeneza Yeroboamu.
|
|
|
|
# Hamkuwafukuza...Walawi?
|
|
|
|
"Mmewafukuza Walawi"
|
|
|
|
# Hamkujifanyia makuhani katika namna ya watu wa nchi zingine.
|
|
|
|
"Mmejifanyia makuhani kama vile wajifanyiavyo watu wa nch zingine.
|
|
|
|
# Yeyote ajaye kujitakasa mwenyewe na ngo'mbe dume kijana, na madume ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa kile ambacho siyo. miungu.
|
|
|
|
"Yeyote atoaye ng'ombe dume na madume saba ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa sanamu tu ambazo hazina hadhi ya kuitwa miungu"
|
|
|