sw_tn/2ch/13/06.md

13 lines
196 B
Markdown

# Mwana wa Nebati
Nebati alikuwa baba yake Yeroboamu mfalme wa Israeli.
# Washirika wa karibu
"Watu wenye tabia mbaya, wasio na maadili".
# Wakamkusanyikia
"Wakaungana pamoja na Yeroboamu".