Hii ni sikukuu ya makazi ambayo iko katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba katika kalenda ya Kiebrania. Hiki ni kipindi cha Oktoba katika kalenda ya Magharibi.