forked from WA-Catalog/sw_tn
357 B
357 B
Huramu.
Hili ni jina la kiume.
Mabakuli ya kunyunyizia.
Mabakuli yaliyotumika kunyunyizia madhabahu katika nyumba ya Mungu.
Taji mfano wa upinde.
Kama taji**-Sehemu ya juu ya nguzo inaitwa taji:"mabakuli ya juu" au "bakuli la la sehemu za juu."
Nyavu za mapambo.
Hii inataja micjuu katika sehemu za juu za nguzo.horo ya mapambo au muundo wa