sw_tn/1ti/03/08.md

37 lines
1.0 KiB
Markdown

# Mashemasi vilevile
"Mashemasi, kama kwa waangalizi"
# Wawe wakamilifu
Awe anastahili heshima
# Asiwe na kauli mbili
Kauli**-"siyo kusema kitu kimoja lakini maana ni nyingine"au "siyo kusema kitu kimoja kwa mtu mmoja na kusema vitu vingine tofauti kwa wengine"
# Asitumie mvinyo kupita kiasi
"Asitumie mvinyo kupita kiasi"au"asijitoe kutumia mvinyo kupita kiasi"
# Wasiwe na tamaa
"Wasiangalie pato lisilo la haki"
# Waweze kutunza kweli iliyofunuliwa kwa imani
Lazima waendelee kuamini ujumbe wa kweli uliofunuliwa na Mungu kwetu kwamba tunaamini."Hii inamanisha kwamba kwa kweli iliyoingia kwa muda mrefu lakini Mungu aliionyesha kwao kwa muda huu .
# Kwa dhamira njema
"Kwa dhamira njema kujua kwamba hatukufanya chochote kinyume"
# Wawe wamedhibitishwa kwanza
Wawe wamedhibitishwa kutadhiminiwa na kuamua ikiwa wanafaa kutumika"au" waweze dhibitisha peke yao kwanza"
# Kwa sababu hawana lawama
Ikiwa hakuna mmoja aweza kutafuta chochote kisicho sawa yeye peke yake "au "kwa sababu hawana lawama "au" kwa sababu hawakufanya chochote kisicho sawa"