sw_tn/1ti/02/08.md

33 lines
847 B
Markdown

# Kauli unganishi
Paulo anatoa maagizo maalumu kwa wanawake.
# wanaume kila mahali
"Wanaume katika kila mahali" au "Wanaume kila sehemu"
# Inua juu
"kuongeza"
# inueni mikono safi
"Mikono iliyotengwa kwa ajili ya Mungu." hii ni kwa ajili ya mtu anayekwepa dhambi
# bila kuwa na hasira wala wasiwasi
"Bila kueleza hasira na mgogoro na wengine" au bila kueleza hasira kuhusu wengine na mashaka juu ya Mungu"
# kwa heshima
kwa njia ambayo haitaonyesha kutokuwa na umakini kwao" au "kwa njia ambayo inaonyesha heshima ya wazi kwa watu na kwa Mungu"
# si kwa kusuka nywele
"Kufany akazi kwa bidii ili kufanya nywelezionekane kuwasafi". Kusuka nywele ni njia moja ya mwanamke inayompa kutokuwa makini kwenye nywele zake.
# wanaokiri uungu kwa kufanya kazi njema
anataka kuonyesha kuwa wao ni mai ya Mungu kwa mambo mazuri wanayoyafanya.