sw_tn/1sa/30/07.md

13 lines
242 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Daudi anaomba maelikezo toka kwa Bwana juu ya wavamizi wa watu wake.
# Daudi akamwomba BWANA kwa ajili ya mwongozo
"Daudi alimuomba Bwana ili amwambie ni nini anapaswa kufanya"
# nikiliandama
"kufukuza" au "kufuata"