sw_tn/1sa/28/22.md

13 lines
198 B
Markdown

# sauti ya mjakazi wako mwanamke
Mwanamke anazungumza kwa namna hii kuonesha kuwa anamuheshimu Sauli.
# alikataa
"hakukubali" au "hakufanya kama walivyomuomba"
# wakamlazimisha
"wakamuhimiza"