forked from WA-Catalog/sw_tn
773 B
773 B
Sauli akajigeuza ... akaondoka... yule mwanamke wakati wa usiku
Sauli alijigeuza kwa sababu njia ya kutoka Giboa kwenda Endori ilikuwa ya kupitia mahali ambapo Wafilisti waliishi. Alisafiri siku nzima na kumfikia mwanamke baada ya jua kuzama.
Kujigeuza
Kubadilisha mwonekano wake wa kawaida ili mtu yeyote asimtambue.
wale wanaoongea na wafu au mizimu
Maneno haya "wale walioongea na wafu" yatafsiri kwa neno moja kwa lugha asili na maneno "wale walioongea na mizimu" pia tafsiri neno moja kwa lugha ya asili. Kama lugha yako ina neno moja lenye maana ya wale wanaoongea na mizimu au wale wanaoongea na wafu unaweza kutumia maneno haya hapa.
Nitabirie ... na wafu
"ongea na waliokufa kwa niaba yangu"
Maisha yangu
Neno "maisha" inasimama badala ya mtu.