forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
586 B
Markdown
21 lines
586 B
Markdown
# Mfalme wa Israeli ametoka kumuandama nani? Unamsaka nani?
|
|
|
|
Swali hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi "acha niwaambia mfalme wa Israeli amekuja kumuandama nani. Acha niwaambie ni nani unayemsaka."
|
|
|
|
# Unasaka mzoga wa mbwa
|
|
|
|
"Unamsaka mtu ambaye hana nguvu kama mbwa aliyekufa"
|
|
|
|
# Unasaka kiroboto
|
|
|
|
"Unasaka mtu asiye na umuhimu kama kiroboto"
|
|
|
|
# ukaione na ukaitetee sababu yangu
|
|
|
|
Yaweza kuwa na maana ya 1) "kufanya yaliyo sawa na kutetea sababu yangu" au 2) "kuona kuwa sababu yangu ipo sawa na kupigana kwa ajili yangu"
|
|
|
|
# toka kwenye mkono wako
|
|
|
|
"ili usiwe na nguvu juu yangu"
|
|
|