forked from WA-Catalog/sw_tn
412 B
412 B
Daudi akasema
"Daudi aliuliza" au "Daudi aliomba"
mtumishi wako hakika amesikia....... kama mtumishi wako alivyosikia.....mwambie mtumishi wako
Daudi anaongea kama mtu mwingine aliyeonyesha heshima yake kwa Bwana. AT "Nimesikia hakika ... kama nilivyosikia ... niambie"
watanisalimisha mkononi mwake
Hapa "mkono" inawakilisha nguvu au udhibiti. AT "nipe juu ya Sauli"
kuharibu
"kushindwa kabisa"