sw_tn/1sa/16/13.md

13 lines
399 B
Markdown

# pembe yenye mafuta
Pembe ilitumika mara nyingine kama chupa. Chupa ya mafuta ilitumika kwa ajili ya kumpaka mafuta mfalme, kama Samweli alivyofanya kwa Daudi.
# Samweli akanyanyuka na kwenda
Hii inaonesha kuwa alinyanyuka baada ya kukaa na kula.
# Roho wa Bwana akamwijia Daudi
Roho wa Bwana alimchochea Daudi. Roho wa Bwana alimuwezzesha Daudi kutimiza yote ambayo Bwana alimtaka ayafanye.