forked from WA-Catalog/sw_tn
320 B
320 B
Rama ... Gibea
Haya ni majina ya mahali.
akapanda kwenda nyumbani kwake Gibea
Gibea ilikuwa juu kuliko Gilgali ambapo Sauli na Samweli walikuwa wakizungumza.
Samweli hakumuona tena Sauli hadi siku ya kifo chake
Hii inaonesha kuwa Samweli alikufa mbele ya Sauli lakini hakumuona Sauli tena kipindi akiwa hai.