Samweli akasimama na kwenda
"Samweli akaondoka na kwenda mpaka"
mpaka Gilgali
Gilgali ni jina la mji.
Gibea ya Benyamini
Gibea ni jina la mji.
Watu mia sita
"600"
Geba ya Benyamimni
Geba ni mji.
Wafilisti wakapiga kambi huko Mikmashi
Mikmashi ni jina la mahali.