Samweli alikuwa haulizi swali ila alikuwa akimkemea Sauli. Sauli akaanza kujitetea japokuwa alikosea.
Hili ni jina la mahali.