Samweli anawaonesha historia ya Bwana alivyokuwa anawatendea Waisraeli, namna ilivyojawa na mambo mema na kusudi.