sw_tn/1sa/10/14.md

223 B

Ndipo baba yake mdogo na Sauli akamwambia

"Ndipo kaka yake na baba yake na Sauli akamwambia Sauli"

Hakumwambia kuhusu swala la ufalme

"Sauli hakumwambia baba yake mdogo kuwa Mungu amemchagua kuwa mfalme wa Israeli"