sw_tn/1sa/09/27.md

9 lines
237 B
Markdown

# mbele yetu ... na alitangulia mbele ... Lakini wewe sharti usubiri
Yaweza kuwa na maana ya "mbele yetu na atakapokwenda mbele yetu yakupasa usubiri"
# nipate kukuambia ujumbe wa Mungu
"Ili nikuambie ujumbe wa Mungu kwa ajili yako"