Hii ilikuwa sehemu ya kawaida kwa familia na wageni kula na kulala. Huwa na ubaridi jioni usiku kuliko sehemu nyingine za nyumba.
"Sauli alipokuwa amelala darini Samweli alimuita na kusema"