Sasa
Mwandishi ameanza sehemu mpya ya simulizi.
amka
"acha kufanya unachokifanya"
nchi ya vilima vilima ya Efraimu ... nchi ya Shalisha ... nchi ya Shaalimu ... nchi ya Wabenyamini
Haya ni maeneo katika Israeli.
hawakuwaona ... hawakuwa huko ... hawakuwaona
Hapa wanazungumziwa punda.