forked from WA-Catalog/sw_tn
344 B
344 B
Ng'ombe wawili wanyonyeshao
"Ng'ombe wawili wenye ndama ambao bado wananyonya"
Ndipo mlipeleke lipate kuondoka.
Ng'ombe wawili watakwenda nyumbani kwenye ndama wao.
ikiwa watakwenda ... hadi Beth Shemeshi, basi mjue kuwa ni Bwana
Sio kawaida kwa ng'ombe kuchagua kwenda Beth Shemeshi wakati ndama wamerudi kwenye nchi ya Wafilisti.