sw_tn/1sa/04/12.md

13 lines
235 B
Markdown

# mavazi yamechanika na matope kichwani mwake
Hii ni njia ya kuonesha maombolezo makubwa katika desturi ya Israeli.
# moyo wake ulitetemeka kwa ajili
Eli aliogopa kuwa jambo fulani baya limetokea.
# Mji mzima
"Watu wote wa mji."