sw_tn/1pe/04/10.md

13 lines
239 B
Markdown

# Kama kila mmoja wenu amepokea zawadi
"Mungu amempa kila mmoja wenu uwezo maalumu, na zaidi"
# Na iwe kama mausia ya Mungu
"Na iwe kama maneno ya Mungu anayomwambia kunena"
# Mungu apate kutukuzwa
"watu wote waweze kumtukuza Mungu"