sw_tn/1pe/03/13.md

9 lines
354 B
Markdown

# Ni nani atakayekudhuru, ikiwa unataka mema?
Neno "wewe" linamaanisha waamini. AT "Hakuna mtu atakayekudhuru ikiwa unafanya mambo mema."
# Usiogope kile wanachokiogopa. Msifadhaike.
Maneno haya mawili yanategemeana maana sawa na kusisitiza kwamba waumini hawapaswi kuwaogopa wale wanaowadhulumu. AT "Usiogope kile ambacho watu wanaweza kukufanyia."