sw_tn/1pe/03/01.md

13 lines
304 B
Markdown

# Kwa njia hii, ninyi ambao ni wake lazima munapaswa kuwasilisha kwa waume zenu
"Basi, wake, muwatii waume zenu."
# kama wengine hawalitii neno
"ikiwa baadhi ya waume hawatii amri za Mungu" au "kama baadhi ya waumini hawaamini ujumbe kuhusu Kristo."
# wataona
Maneno "wao" na "wao" yanataja waume.