sw_tn/1pe/02/21.md

13 lines
233 B
Markdown

# Kwa hiyo uliitwa
Mungu amekuchagua wewe kuteseka kwa ajili yake.
# Hakuna udanganyifu wowote uliopatikana kinywa chake
"Wala hakusema uongo."
# Alipokuwa akitukanwa, hakuweza kumtukana.
Watu walipomtukana Yesu, hakuwaadhibu.