sw_tn/1pe/02/01.md

737 B

Kw ahiyo, weka pembeni

"Basi kuacha kufanya"

Kama watoto wachanga, tamaa kwa maziwa safi ya kiroho

Kama watoto wazaliwa wapya wanatamani maziwa ya mama zao, hivyo waumini wapya waliozaliwa kiroho wanapaswa kutamani neno la Mungu. Neno la Mungu pia linajulikana kama maziwa safi ya kiroho.

Kama watoto wachanga

Wakati mmoja akizaliwa kiroho, wanahitaji kusoma neno la Mungu kuishi na kukua kama mtoto mpya aliyezaliwa anahitaji kunywa maziwa ili kuishi na kukua

kwa muda mrefu

"hamu sana" au "tamani"

unaweza kukua katika wokovu

"unaweza kukua kiroho." Neno "wewe" linamaanisha waumini waliotajwa katika sura ya 1.

ikiwa umeonja kuwa Bwana ni mwema

"kwa sababu umeona kwamba Bwana hutendea kwa huruma kwako" (UDB)