sw_tn/1pe/01/01.md

895 B

Petro, mtume wa Yesu Kristo

Petro anajitambulisha mwenyewe. "Mimi, Petro, mjumbe wa Yesu Kristo ninawaandikia (wingi

Ponto

Hii ni siku ya sasa kaskazini mwa Uturuki.

Galatia

Hii ni siku ya sasa ya kati Uturuki.

Kapadokia

Hii ni siku ya sasa mashariki ya kati Uturuki.

Asia

Hii ni siku ya sasa magharibi ya kati Uturuki.

Bithinia

Hii ni siku ya sasa kaskazini magharibi Uturuki.

foreknowledge

Maana iwezekuwa ni kwamba 1) Mungu anajua tukio kabla ya kutokea au 2) Mungu 'aliamua awali' (UDB).

kuinyunyiza damu yake

Hii ina maana ya damu ya Yesu kama dhabihu na wakati Musa aliponyunyiza damu kwenye taifa la Israeli.

Neema iwe kwenu

Maneno "Neema iwe kwenu" ni salamu za kawaida za watu anaowaandikia. Katika lugha zingine ni kawaida kuweka salamu zako za kawaida hapa. Neno "wewe" na lako" linamaanisha waumini wanaoishi katika maeneo yaliyotajwa hapa juu.