sw_tn/1ki/20/31.md

17 lines
271 B
Markdown

# Tazama sasa
"Sikiliza" au "Sikiliza kwa makini kile ninachotaka kukuambia"
# tuvaeni magunia viunoni mwetu, na kamba vichwani mwetu
Hii ni ishara ya kjiachilia.
# Je bado yuko hai?
"Ninashangaa kwamba bado yuko hai!"
# Yeye ni ndugu yangu
"Ni kama ndugu yangu"